catherine pliiiiz have mercy ?!?!??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

catherine pliiiiz have mercy ?!?!???

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by beibe nasty, Jul 20, 2012.

 1. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hii . najua utashangaa saana na yawezekana ukawa unahis nataka kukushika ugoni ila laahasha shida yangu kuubwa ni juu ya kaka angu kipenz changu MENtOR amekua mtu ambaye ana raha na ametoka umwa na bado hajarecover sana nikamuuliza kwan vipi kaka akatamka kwa machungu jina lako sa nkasema catherine yupi? Akasema wa chitchat unautesa moyo wake sana anumia anhitaj nafas juu ya hili. Taafaadhali mi ni dada na nina familia yangu ila nimejizatiti kuubeba mzigo huu pliiiz kaka angu ankuhitaji naomba uumpe nafasi tafadhali ye ameenda oga soon atakuja kuthibitisha juu ya hili na usiogope sana kwan kuna kipind si uunajua tena ujana alikua na binti king'ast ndo jina lake lakin kuna tatizo lilitokea hadi likampelekea kaka kuokoka but kaona anhitaji mtoto mzuri ka wewe ,sasa mama naomba nitoe hoja na taarifa juu ya hili.

  wako mtiifu Beibe nasty mke wa halali wa judgement
   
 2. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh! haya wifi yake catherine kazi njema.
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,312
  Trophy Points: 280
  I love u Mwa beibe nasty...nashukuru. I hope bibie Catherine ataupokea moyo wangu huu...
  Umewai vunjwa na kina Meritta, King'asti, vivian et al...ila moyo nu kama kioo..hata kipasuke vp..ukiangalia kwa karibu utaiona taswira yako bado.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Collins

  Collins Senior Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Namuonea huruma sana huyo catherin, maana bado hajakujua vizur maana we ndo Mentor hapana chezea wewe.
   
 6. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mtu mzima gani huyo msumbufu tu hana lolote
   
 7. measkron

  measkron JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,713
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Wow! Malavidavi yameanza, uuuuwwwii wapi watu8? Weekend imeanza hebu rudi nyumbani mapema mwenzio umeniacha mpweke!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheeee Mentor naona dada kakuonea huruma lol
  Ila angalia huyo Catherine asiwemzigo kwako coz nahisi kaka Kaizer keshamshindwa kaamua kula kona kwa gfsonwin
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Collins

  Collins Senior Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we una uhakika?mtu katoa dukuduku
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  mmh! huyu Catherine hajawah kuja kwa Kaizer wangu ila mye nilikuwa namfundisha ujanja wa jamvini. Mentor nakusaidia kumwita Catherine aje akutibie ila akikataa basi shaka ondoa kuna ajuaye kutibu zaid ya wote naye huyu ni cacico macho yake tu wewe lazima uzimike.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  We Erickb52 hapo wa kuonewa huruma ni catherin na sio Mentor maana huyo Mentro ndo mzigo ma namuelewa haswaaa
   
 12. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #12
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,312
  Trophy Points: 280
  Shem Erickb52 Kipendacho roho kaka..kipendacho roho.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,312
  Trophy Points: 280
  Asante mkubwa 99 Problems alintenda akadhani sitopenda tena...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Uhakika ninao muulize Mentor mwenyewe anajua kama najua kuwa yeye hana lolote
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Yan Meritta unamaanisha Mentor ndio mzigo? lol au sijaelewa mimi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heheheee kweli aisee ila nakushushia maombi atakuwa mtoto mwema ingawa hadi sasa mwenye afadhali humu ni yeye tu siunajua wale wengine ni hasara tupu?
  Salamu zangu kwa Catherine
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Madame gfsonwin nimekusoma aisee sasa naomba uhakikishe huyu Binti anatulia kwa huyu kijana wangu nimwaminie Mentor walau apate raha za dunia...sawa eeeh
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ndio maana yake, mentor ndo mzigo atamsumbua tu catherin
   
 19. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  mh we mpambe looh
   
 20. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,905
  Trophy Points: 280
  mimi tena kungwi wao wote wamefundika hawa wasikupe shida.
   
Loading...