Weka kichwani mwako

Weka kichwani mwako

mbupupu

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
90
Reaction score
11
kamwe usimwamini au kumtegemea sanaaa!! mtu yoyote hapa duniani kwasababu hata kimvuli chako mwenyewe kinakuacha pale giza linapokukuta,take care friends
 
Kauli hii inamaanisha kuwa hatutakiwi kuamini unacho kisema............................................
 
[QUOaTE=DZUDZUKU;8953473]Fumba macho aiseee, mambo haya bwana.........[/QUOTE]

ngoja nifumbe maana ntaanguka hapa afu hamna wakunibeba
 
[QUOaTE=DZUDZUKU;8953473]Fumba macho aiseee, mambo haya bwana.........

ngoja nifumbe maana ntaanguka hapa afu hamna wakunibeba[/QUOTE]

Siamini kama kweli utaanguka halafu wa kukubeba aitokee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom