Ramsey Vinjunga
Member
- Feb 16, 2014
- 73
- 23
Siku Ya Kwanza Kwenda Shure Nilikuwa Naangalia Kila Mtu Barabarani, Nilipofika Stendi Nikapanda Basi, Ndani Ya Basi Nikawa Nawatolea Watu Macho Mpaka Wakawa Wananiogopa, Nilipofika Shure Kila Mwanafunzi Nikawa Namwamkodolea Macho Mpaka Mwanafunzi Mwenzangu Mmoja Akaja Kuniuliza Wewe Mbona Unatukodolea Macho Hvyo Mpaka 2nakuogopa?
MIMI:MAMa KANIAMBIA NIWE MUANGALIFU?????
MIMI:MAMa KANIAMBIA NIWE MUANGALIFU?????