Kama "kuzini" ni dhambi nani atakae pona?

Kama "kuzini" ni dhambi nani atakae pona?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,462
Maana siku hizi imekua fashion na competition kungonoka si kwa viongozi wa dini watoto hata wakubwa wana ndoa na wasio na ndoa if uzinzi ni dhambi for real hakuna atakae pona.....TAFAKARI....
 
sio watu wote wanazini bana..............
 
Sema wewe na hao unaowaona ila watakaopona wapo.
 
Mimi sina Dhambi ya Kuzini na sijawahi kuzini, Labda tukijadili Dhambi ya kuziniwa!
 
...acha kuongelea hisia,njoo na fact na ushahidi kwamba kila mwanaume ni mzinzi...
 
Back
Top Bottom