Tumekuwa na utaratibu wa kufanya sherehe kila ifikapo siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwetu, ni jambo jema, lakini fanya hivi kuanzia birthday ya leo baada ya kusoma uzi huu, kama wewe ni Mkristo...
jamani najua sio maadili ya kitanzania ila kila m2 ana uhuru wa kuishi apendavyo, nina miaka 25 m2 asiye na mme niko tayari kumpa raha ni PM. sipendi wapondaji hapa
Happy Birthday to a friend who is so sweet
a friend I am so thankful I had the pleasure to meet.
A beautiful mama with a life that is blessed,
who exhibits steadfast character even in tests...
Sasa Watu wamejawa simu hazibebeki namba ngeni hazipokelewi, sasa nakupa dawa ukiamka salimia wanaokuda hakika utaifanya siku kuwa nzuri na simu zote utapokea pasipo hofu, kwani simu nyingi ni...
Dengue ni noma, imebadilisha maisha ya uvaaji ghafla, siku hizi ni vigumu mno mitaani kukuta watu wamevaa vimini, pedo na mapensi, kila mu anamwogopa mbu aambukizaye dengue. Fasheni sasa ni nguo...
Habari dhenu wana grit thinka,leo nikiwa natoka uswazi naelekea kunako riziki nilikutwa na kasheshe c kitoto,nilikuwa ndani ya 5 5 inayofanya safari zake Manzese/Kariakoo nilikuwa nimekaa na dada...
Kesho naenda kwenye dengue zone; tafadhali naomba mnisaidie kinga maana taarifa ya habari huwa sisikilizi.
Maisha ni matamu.
Anagalizo;
Sitaki maswali ya kwa nini sisikilizi au kuangalia taarifa...
Kuna mama alijitambulisha kanisani katoka Dar basi watu wote waliokaa karibu yake jasho lilianza kuwatoka maana kulikuwa na mbu waliosadikika kuwa ndio wale wale wanaoeneza ugonjwa huu hatari!Kila...
Habarini za masiku wapendwa wa chit chat?
Ni muda mrefu sana tangu nipotee humu.
Ila nimewamiss sana wapendwa wakitambo akina Madame B, charming lady, king'asti,Filippo,mzizi mkavu, figganigga...
Nimekuandalia zawadi, kwa uchache tazama picha hii. Leo tutaonana wapi maana hali ya hewa hii jijini mh. Mvinyo upo na usafiri pia nijibu tafadhari, najua huwezi niangusha.
Asubuhi njema wadau...
Baada ya uchunguzi kufanyika !
Nimegundua kuwa kuna asilimia kubwa sana ya wanaojiita ma Miss humu JF ni wanene !
Sijui kina
miss neddy
miss chagga
miss nani sijui wengine mnawajua nyie ...
Kama unataka demu sema aweje..aweje
kama akienda bogie unapenda atokeje tokeje
Ndio nataka demu lakini,tuanzie JF ila asiwe FF
awe kama Preta..mtoto anajua Kudeka
asiwe kama Afrodenzi..yule wa...
Babu mmoja alikuwa na wajukuu zake barazani anawapa stori za ujana wakee
Babu: Wajukuu zangu wakati wa ujana wangu nilitembelea karibuni nchi zote
Wajukuu: Ulitembelea kikazi au?
Babu: Hapana...
Kuna vitu ambavyo ukifanya huku umeulamba tai utaharibu sana
1: ukivaa tai.....usile mua
2:ukivaa tai......usiongee...hadi mate yakatoka
Naomba muendeleze hapo
jamaa mmoja alikaaa kando ya bahari akionekana na mawazo sana.muda kidogo akatokea rafiki yake na kumuuliza vp ndugu yangu mbona unawaza sana leo.
jamaa:aaaaaah hapa nafikilia hii bahari ingekuwa...
SIKILIZA HII..Baba: Halloo mke wangu.. yaani ni shida sitaweza kurudi nyumban, daraja limevunjika na kutoka morogoro kurudi dar haiwezekaniMAMA: Mme wangu morogoro ulienda bila kuniaga! ?BABA...