Hodi humu tena?

Hodi humu tena?

Asulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
719
Reaction score
252
Habarini za masiku wapendwa wa chit chat?
Ni muda mrefu sana tangu nipotee humu.
Ila nimewamiss sana wapendwa wakitambo akina Madame B, charming lady, king'asti,Filippo,mzizi mkavu, figganigga, na wengine wengi siwakumbuki wote.
Nawasalimu wote wenyeji kwa wageni na ninaomba mnipokee tena
 
karibu ukaribie,
upewe kiti ukalie,
na kitako utulie.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom