Naombeni Msaada Jamani

Naombeni Msaada Jamani

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Kesho naenda kwenye dengue zone; tafadhali naomba mnisaidie kinga maana taarifa ya habari huwa sisikilizi.
Maisha ni matamu.

Anagalizo;
Sitaki maswali ya kwa nini sisikilizi au kuangalia taarifa ya habari pamoja na kusoma magazeti.
 
Back
Top Bottom