Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta sugar mamy.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by msikivuTz, Apr 17, 2011.

 1. m

  msikivuTz Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  jamani najua sio maadili ya kitanzania ila kila m2 ana uhuru wa kuishi apendavyo, nina miaka 25 m2 asiye na mme niko tayari kumpa raha ni PM. sipendi wapondaji hapa
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,942
  Likes Received: 2,488
  Trophy Points: 280
  ok.....umesikika baba
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,741
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  mimi hata sijamsikia. Hivi anasemaje huyu?
   
 4. CPU

  CPU JF Gold Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ma-jimama ya siku hz yanavaa dildo, yatakubandua ohooooo! Shauri zako!!!
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,942
  Likes Received: 2,488
  Trophy Points: 280
  amesema anataka mama sukari....watoto wa siku hizi hawana adabu kweli
   
 6. kichomi

  kichomi JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 512
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda Ohio huwakosi.
   
 7. Mamamkwe

  Mamamkwe Senior Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli watoto wa siku hizi hamna adabu.
   
 8. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,178
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  wataka kunyonya weye, haya nenda tafuta hiyo mijimama
   
 9. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,072
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  angalia usije ukaparamia vyote maana kuna watu siku hizi wanaua wenzao kwa makusudi na wapo wengi tu hawana waume na wengine hawana wake!
   
 10. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Unamtaka wa kuishi nae? Kukusaidia pesa? Kuzaa nae? Kuoa au?

  Kuna wanawake wengine miaka iliyowakimbia hawa wanafanya chochote kushikilia mvulana

  Kazi kwako
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  fbngdgnhmbnmjytgrewWSVXZV V NENA KWA LUGHA!
   
 12. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Unataka radhi ww.
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,741
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 180
  dah! Inabidi kuwe na somo la adabu mashuleni.
   
 14. no9

  no9 Senior Member

  #14
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 190
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sipati picha mnapokuwa wawili mnazima taa au
   
 15. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,823
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  CAUTION this:"nina miaka 25 m2 asiye na mme":A S check_03: Hapo kwenye Red, weka sawa tangazo lako kabla hujavamiwa na madume.
   
 16. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,596
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Hii ni hatari. Fanya kazi kijana, usitake miteremko. Mashugamamy ya nini hayo? Usojidanganye kuwa fasta utaenda kwa babu. Lucifer ameshasikia ombi lako, anamleta sasa hivi. Moto wake baada ya wiki 2.
   
 17. LD

  LD JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,014
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tatizo lako ni nini labda. Hebu tuambie kinachopelekea wewe kuwaza na kutamani hilo. Nadhani hicho kitatupa sababu ya kuendelea kukushauri.
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,240
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  vijana wa siku hizi bana wana mambo sana...khaaa yaani miaka 25 si uko chuo wewe unasoma unataka kuanza kuhangaika na mijimama kona bar mara hongera mara miti mirefu utaweza kweli wewe..haya shauri zako bana
   
 19. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #19
  Apr 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,051
  Likes Received: 3,082
  Trophy Points: 280
  Una laana wewe, badala ya kuweka life kwenye mstari wewe unawaza kulelewa!!
   
 20. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 25,074
  Likes Received: 4,560
  Trophy Points: 280
  Dah,am speechless
   
Loading...