Special kwa Umukagame tu

Special kwa Umukagame tu

Payer

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
824
Reaction score
189
Nimekuandalia zawadi, kwa uchache tazama picha hii. Leo tutaonana wapi maana hali ya hewa hii jijini mh. Mvinyo upo na usafiri pia nijibu tafadhari, najua huwezi niangusha.

Asubuhi njema wadau wangu wa nguvu, making funny sometimes
 

Attachments

  • 1399957375264.jpg
    1399957375264.jpg
    15.3 KB · Views: 314
  • 1399957427829.jpg
    1399957427829.jpg
    53.5 KB · Views: 287
  • 1399957452663.jpg
    1399957452663.jpg
    52.7 KB · Views: 279
  • 1399957475040.jpg
    1399957475040.jpg
    46.2 KB · Views: 265
Namsubiri kwa hamu sana. Lol
 
Na anavyopenda kupakuliwa atakuja fasta umukagame kuja huku
 
Last edited by a moderator:
hahhahahaha watu mnajua kuamkiana loooh

HUKU KWETU MVUA BADO INANYESHA

HALI YA HEWA IMEKAA KI umukagame umukagame
 
HALI YA HEWA IMEKAA KI umukagame umukagame

Hahahahaaaa.... Masai dada si umezaliwa juzi!!!??? Ushajua kuongea?? Hongera sana.
Nimependa huo msamiati mpya hapo juu. Wataalamu wa lugha waufikirie kwa kweli
 
hana lolote.yeye ni mtunzi tu na m.a.laya kama walivyo wengine.halafu ana kisura kibaya kama kitoto cha nyani.humu anajionyesha kama mrembo.uongo mtupu tuulize tulioomba na kufanikiwa kuonana naye
 
Mnampa kazi ya kulog out na kulog in tena..
 
Back
Top Bottom