Familia moja ilishangazwa pale walipopokea jeneza la marehemu mama yao
aliyefariki nchini Marekani. Lilitumwa na mmoja ya watoto wake wa kike.
Mwili ndani ya jeneza ulikuwa umesongwa sana...
Jamaa alianza kujisifu sana kazini kwake;
Jemsi: Wiki ijayo nafanya mtihani, ni miezi sitasasa nafanya masomo ya jioni, nimejua mengi
sana, we unamjua David Livingstone?
Devi: Hapana simjui
Jemsi...
Babu alienda hospitali kutibiwa akiwa na mwanawe, kufika akaambiwa aanze kulipia kadi sh. 2,000 na kumuona dokta alipe sh. 10,000. Akabaki kimya kwa muda, nesi kuona vile akamuuliza
Nesi: vipi...
kuanzia la 4 hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani zilikuwa zinacheza kwenye 03%hadi 08%.Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa! yanapotangazwa mwalimu anaanza kuwaita wanafunzi...
Kitanda kina mambo mengii jamani kinatunza siri zetu nyingii mi kitanda changu hukitumia kumpumzika nikiwa nimechoka pia usiku nikitaka kulala basiii
Je wewe kitanda chako wakitumia kufanya...
Ya Leo Kali nimekuta irizi kwenye dirisha la nyumba nliyopanga,yaani mpaka nimeishiwa Nguvu kabisa,nishaurini nimprovoke huyu mama au ninyamaze na kuichoma tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwaka 1978 Kenya kulikuwa kuna mchezaji anaitwa Otieno Mboo.
walifanikiwa kufika Fainali ila huyo mchezaji aliumia mechi ya Nusu fainali,
Magazeti ya Kenya yaliandika vichwa vya habari "WAKENYA...
CNN Journalist: Russia was the first Country to go Space and USA was the first to land on the moon. What will Africa do first?
President Mugabe: We will be the first to land on the sun.
CNN...
waweza pia kuziita gesti za kijani, zimetoweka, hazipo tena misitu imemalizwa vichaka vimefyekwa, miti imekatwa kufanya maendeleo ya binadamu. green villars hazikuwa na gharawa yoyote na zilikuwa...
Ilikuwa ni muda wa masaa 4 tangu askari wakike ajilaze kitandani toka saa mbili na nusu akiwa na mpenzi wake anakuja kutaharuki anakuta wamelala watu watatu katika kitanda chao cha sita kwa sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.