Najua unatambua ya kuwa nakupenda sana sipo tayari kukupoteza kwa gharama yoyote. Wewe ndiye mama mwenye nyumba ila tambua ya kuwa Heaven on Earth atakuwa ni mchepuko wangu.
Nimeandika hadharani...
Hivi wanaume wanadhani hizi social media ni za kutongoza wanawake tu hakuna kingine,mtu anakurequest friendshp mkianza kidogo tu kuchat hapohapo ananza kumwaga sera zake,acheni wenye hizo tabia
habari wana jf key yangu ya kufungulia mlango mara kwa mara inakua ya moto nkiiweka mfukoni hii inasababishwa na nini
USHAURI WAKO BASI BZ UMEKUJA RESI SANA
Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia...
Habarini mabestito
Marafiki hebu kila mmoja akumbuke na kutuelezea kitu gani alikifanya wakati akiwa
mdogo ninaposema mdogo ni pale ambapo mtu anakuwa na ufahamu mzuri wa kuweza
kutambua jambo...
Phonebook ya
Mchagga
1. Massawe Muuza
pumba.
2. Lyimo wa vifaranga.
3.Shirima dk mifugo
4.Tairo duka la jumla
5.kimario wa Bia za magendo
6.Mushi mchoma
nyama
7.Uiso wa pikapu ya...
Mwenyekiti wa kamati ya mazishi akainuka na kuanza kusema kinachofuata sasa ndugu wafiwa na marafiki wa marehemu ni kusoma historia fupi ya marehemu tuliyemzika hapa leo, karibu ndugu...
1.Serikali imepiga marufuku ulaji wa udongo kwa kinamama baada ya kinamama wawili huko mkoani mbeya kula udongo na kujifungua matofali.
2. Utemaji mate wa hovyo wasababisha mafuriko huko keko.
hapo zaman ni nadra sana hata kuwaza kama dengu inaweza kuwa ugonjwa ila kutokana na mifumuko ya magonjwa mengi siku hiz hatimae dengu yawa ugonjwa tuwen makin huu ugonjwa ni hatar kuliko maralia...
Jamaa mmoja akiwa amelala aliota ameokota mfuko kama ile ya kufungia sembe imejaa sarafu za shilingi mia mia, akaushika kwa juu akauziba kwa mikono akanyanyua kuanza safari, ile ananyanyua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.