Birthday yako ina maana yeyote?

Birthday yako ina maana yeyote?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,083
Tumekuwa na utaratibu wa kufanya sherehe kila ifikapo siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwetu, ni jambo jema, lakini fanya hivi kuanzia birthday ya leo baada ya kusoma uzi huu, kama wewe ni Mkristo au jamaa yako ni Mkristo muombe akusomee zaburi kulingana na umri wako kwenye Biblia takatifu, kwa mfano umetimiza miaka 35, soma Zaburi ya 35 utaona kuwa hali ulinayo kipindi hicho kinashabihiana mno na zaburi husika
 
Watabiri wanaongezeka,Je hii inaashiria nini ktk jamii?
 
Asante. Ngoja nisubirie next year ila bday siyo tena issue kwangu kwa sasa.
 
Sasa tunaingia kwenye utabiri ngoja nisome nione kunanini?
 
Nimesoma Zaburi husika ni tofauti kabisa na mimi nilivyo,haiendani.

nafarijika kuona kuwa hii post imekulazimisha kusoma Biblia leo, in fact ndio lengo langu kuu
 
Back
Top Bottom