kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Kuna mama alijitambulisha kanisani katoka Dar basi watu wote waliokaa karibu yake jasho lilianza kuwatoka maana kulikuwa na mbu waliosadikika kuwa ndio wale wale wanaoeneza ugonjwa huu hatari!Kila mtu alihofu huenda mama ana dengue na any time t anaweza akang'atwa na kuambukiza majirani maana huko dar sasa sio baby tena bali dengue!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums