Wife: sweety, which teams are
playing today?
Hubby: There is no match today.
Wife: Oh! It's over? So who
won?
Hubby: it's not over, they are just
resting today
Wife: Oooh... So they'r
on halftime...
KABLA KUOWANA
Mvulana: Kutoka zamani nina subiri moment hii,
Msichana: Wapenda niende zangu?
Mvulana: No no no no,
Msichana: Wanipenda kweli?
Mvulana: Bila shaka,
Msichana: Ukimpata msichana...
Kuna kampuni moja ilitangaza kazi ya makatibu mukhutasi (Personal Scretary), basi katika mchakato wadada watatu wakaitwa , interview ilikuwa kama ifuatavyo,
Bosi: Nawauliza maswali ya kupima...
Nimekuwa nikiyaona majina mbalimbali yanayoanzia na Miss then followed by jina la kabila fulani ama kitongoji fulani. Ni makabila machache yana uwakilishi huku kati ya makabila zaidi ya 120...
KUTANA NA MTU MWENYE HURUMA ZAIDI DUNIANI. Jamaa kafiwa na mkewe. Wakiwa makaburini alimuona mwanaume mmoja analia sana huku akijigalagaza. Mume mfiwa akamuuliza rafiki yake, Mbona huyu analia...
Hi!
Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari
(machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu,
1. Mihogo ya ambanjaula
2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine...
Jamaa alikuwa anatafuna popcon gafla moja ikadondokea ndani ya shati,jamaa kashusha mkono ndani ya shati akamate ki-popcon chake akitafune mara akakuta amekamata bonge la mende akidhani popcon na...
Yaani ni maajabu na kweli na kuwapata wanawake wa aina hii enzi hizi ni vigumu sana. Mwanamke ambaye anaweza kukuambia ukweli wake wote bila kukuficha jambo lolote lile.
Amini usiamini kanambia...
Watu wangu wa nguvu mpo?
Niliadimika kidogo katika jukwaa letu, kwa ambao naonekana mgeni kwenu wala msiwaze mkadhani mumeingiliwa... Mie ni mwanafamilia wa CC niliyerudi kundini.
Sema yote...
Jana nilicheka sana haa kweli JF mambo mwe mwe, nyumbani kuna babu yangu kaja kusalimu tena ana umri miaka 82 sasa hivi, mara nyingi JF naingia nikiwa kwa ofisi natumia desktop.
Jana naingia...
Heshima kwenu wakuu.
Baada ya mihangaiko na michako ya maisha watu tunakuja MMU kupunguza stress kama si kuondoa kabisa. Kwa wale wapenzi wa kabubumbu wanamfahamu sana mzee wenga.
Ni kocha wa...
Zamani nilikuwa napigwa sana vibuti, kila demu ninaye mtongoza ananiambia ana mpenzi wake lakini toka mwezi wa pili mwaka huu niliponunua gari Nissan Murano sijawahi kupigwa kibuti.
Wengine...
Ni saa 7 usiku Eneo la KIMARA DAR, mwendesha bodaboda anamalizia kuvuta bangi. Anaingia bafuni na kujimwagia kopo la kwanza la maji na la pili, anashtuka na kuanza kupiga makelele na kutoka nje...
Ni wadada wenye utashi wa kutoa hoja na kuteka mitizamo ya wanaMMU pindi wanapoingia JF. Wote wanamitizamo ya ku'hate' free P : yaani free P according to wao ni wanaume wasiopenda kugaramia at the...
Ikifika mida ya saa mbili usiku familia nzima iko sitting room kimya, kibonde akianza tangazo lake utasikia hebu punguza sauti, mara hebu weka TBC, au itatokea to story ambayo haikuwepo kudistruct...
Wakuu nikiwa na dem wangu tumetulia ndani, huyu dada ni anamatatizo ya macho, akanituma nikamnunulie dawa hizi za drops, wakati narudi sikufunga mlango.
Sasa kulikua na majirani wamekaa nje mida...