Utaanza kusoma hili jamaa usalama wa taifa ninii anatutafutia nini
Wala Akuna kitu kizuri kama upendo na kujuana
Majuzi nimesoma mtu kalamba dadake hapa jamvin
Kumbe dingi alifyokonyoa huko...
Ipo hivi,saa nane usiku ya kuamkia leo nimepigiwa simu kwamba ndg yng anaumwa Singida.Hivyo nikatakiwa nitoke Tabora mpaka Singida.
Faster alfajiri nikashika Coast line ya Arusha,kwenye gari...
Mke wa m2 alichelewa kwenye ulabu hadi saa 7 ucku akaogopa atamwambia nn mme wake. Basi akaamua kupitia kituo cha polisi na kumuita askari m1 chobisi na kumwambia: "Kwa kweli nimechelewa kurudi...
One day, Some1 who is a boy was in primary three, approached his teacher.
Some1 said, "Mam(Madam/Teacher), I should be in primary four, Im smarter than my sister and shes in the primary...
Naomba Nkuulize Swali...
"Hv ikitokea cku 1 ukagundua kua MENO yako yote yana thamani kuzidi yale ya TEMBO na Gharama yake km utauza ni Us Dola laki 1.sawa na Tsh MI 250, kwa kila JINO 1!"...
Bila kuwachosha kwa maelezo marefu weekend hii; kuwa mkweli utamu wa mapenzi unaweza kufananisha na utamu wa kitu gani? Mimi nimeshindwa kufananisha wewe je?
Hope mko fine nawatakia na weekend njema pia.
Najisikia furaha sana kwa first born wangu kutimiza mwaka mmoja
Namtakia maisha mema na yenye mafanikio tele.
kwa wale mlionitangulia kupata mtoto...
Sina nia ya kum-attack member yeyote wa JF ila nimegundua makundi mawili hatari ndani ya jukwaa hili lenye nia njema......
1. Wajivuni..
→hawa hupenda sana kusifia maeneo...
Husika na kichwa cha habari hapo juu wewee msomaji unaemwelewa na usiemwelewa pdidy
Nakutakia jumamosi NJEMA
Luv u mwaaaaaaaaaa
Cc:wapwa wote waliokubali kuingia kanisani nakwenda Kuishi...
Ni muda sasa huyu jamaa kawa kimya kabisa,nimekuwa najiuliza amekumbwa na mkasa gani huyu ndugu yetu utafiti?Zipo sehemu nilizoea kukutana naye kama pub ya PICHA na bar ya MMU lakini ghafla kawa...
shukuru mbonde(enz hz p xul) alikuwa zaid ya shalow katika math ali range kati ya 10 mpaka 0 tulishazoea na alijulikana mpaka stafroom cku moja akapata bahat ya kukaa na kichwe wetu wa math zaid...
Kuna maneno haya, baby, honey, MPENZI, wangu/myne nk nk. Wako watu hasa siku hizi wameyazoea na kuanza kuitana hata kama hawana mahusiano ya kimapenzi.
Maneno haya si mazuri kutumiwa hovyo maana...
Imagine wewe ni muuza kiepe, unafika kazini asubuhi kwa lengo la kuanza biashara yako, unakutana na hiki kitu!
Kaingiaje ingiaje humu kwenye dude la utunzi chipsi? aaargh!
Ni kwanini wanaume mkituacha uwaga mnapenda maisha yetu yawe yakuangaika?
Na unakuta mtu umepata mtu anaekupenda na kukujali (kupendana)wengi wenu hupenda kujirudisha na apologize kibaooo...
Dah! Em mkumbuke na umuite yule unayedhani alikuwa mtoaji mzuri wa nyuzi na hivi sasa amepotea haonekani humu,iwe kwa wingi,yenye mafunzo,burudani,majungu n.k hasa MMU...
HII NDIO LUGHA YA MZAZI KWA MWANAE ALIEFAULU
SAA 6AM
BABA;Baba,baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo
MTOTO;Hapana baba nimechoka ntaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia...