Wapwa wa JF Dar: Mko pande gani?

Wapwa wa JF Dar: Mko pande gani?

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,331
Reaction score
38,691
Utaanza kusoma hili jamaa usalama wa taifa ninii anatutafutia nini

Wala Akuna kitu kizuri kama upendo na kujuana

Majuzi nimesoma mtu kalamba dadake hapa jamvin
Kumbe dingi alifyokonyoa huko iringa jamaa akakutana nae sikumbuki .........


Wakati wa kutambuana je wewe uko wapi tukae tupongezane na kuelezana bungela laana linaanza mtanzania umejipangaje kucheka na kuhakikisha watoto awaliangaliii kuisambaza laana kwa watoto

Isijekuwa unanitukana kakayako wa kambo pdidy
 
Nitakuwa Masaki The Slipway Kuanzia Mida Ya Saa Moja Usiku Mkuu Pdidy,. Karibu Sana
 
Last edited by a moderator:
leo nina mpango wa kusafiri na boat nikapate upepo katika kisiwa cha bongoyo.
 
Last edited by a moderator:
Nimemmis ...

Cha ukucha wape hi Forodhani ..
Sio secondary hii ni sehemu yakula huko znz

Ingaawa itakuwa bored na haka kamfungo hata vile vyakula kama vya afrikasana

aka mifugo wako mfungoni

Angalia tu akilizao moja pesa wekakwenye pochi wakati unawasomesha

Mapenzi yangu ufike salama anything between ni mapenzi ya Mungu
 
Nitakuwa Getho na Kina Boban,Kardinali Pengo,Mnyika,Maximo,Baloteli,Jamal malinzi,Salama Jabir pamoja na Mwigulu tukijadili mustakabali wa nchi.
 
Mpwa ntakucheki midahiyo Njoo na

HOTEL OSCAR ECHO

njoo peace hapa mwananyamala full amsha amsha mida hii kisha jioni mdogomdogo pale twita pub manyanya
 
mkuu Pdidy, kwa sasa nipo hapa mlimani city napiga mishe zangu.jioni kama kawaz kama dawaz nitajisogeza pale samaki samaki kulainisha koo na kucheki watoto wakali wa town.
 
Last edited by a moderator:
Niko ofisini namalizia issue flani hivi, nikitoka hapa naelekea Mbagala nikitoka mbagala narudi Maeneo ya Shekilango hapo nitatafuta sehemu yenye "NOAH" baada ya hapo nakimbilia kwa my wife wangu.
Mpwa wangu usisahau kutoa mchango kwajili ya kwenda kuwaona Wagonjwa hapo tarehe Nane mwezi wa nane
 
Nimemmis ...

Cha ukucha wape hi Forodhani ..
Sio secondary hii ni sehemu yakula huko znz

Ingaawa itakuwa bored na haka kamfungo hata vile vyakula kama vya afrikasana

aka mifugo wako mfungoni

Angalia tu akilizao moja pesa wekakwenye pochi wakati unawasomesha

Mapenzi yangu ufike salama anything between ni mapenzi ya Mungu

Mkuu Pdidy nimegundua kwamba mara nyingi unapendelea Top Garage je yule mama kaacha ule mchezo wake?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pdidy nimegundua kwamba mara nyingi unapendelea Top Garage je yule mama kaacha ule mchezo wake?

Wakuchukuaa vijogoo ???

*mkuu imebinafsishwa kwa jamaa mmoja mstarabusana
Wa times fm....yaani Uwezi uwezi amini kukobomba mbaya...
 
Last edited by a moderator:
mkuu Pdidy, kwa sasa nipo hapa mlimani city napiga mishe zangu.jioni kama kawaz kama dawaz nitajisogeza pale samaki samaki kulainisha koo na kucheki watoto wakali wa town.

Mkuu jioni ntakutafuta ingawa bili ya juice utalipa wewee nilishaachga kujahapo nilikwenda na mjombawangu wakamwongezea bili kama anataka kununu trekta ..kanywa bi@8loh

Vipi mizigo ya show off Bado ipo??kama naona Noah na ipsum xa mkopo zitakavyopangana jioni hii
 
Last edited by a moderator:
Niko ofisini namalizia issue flani hivi, nikitoka hapa naelekea Mbagala nikitoka mbagala narudi Maeneo ya Shekilango hapo nitatafuta sehemu yenye "NOAH" baada ya hapo nakimbilia kwa my wife wangu.
Mpwa wangu usisahau kutoa mchango kwajili ya kwenda kuwaona Wagonjwa hapo tarehe Nane mwezi wa nane

Elezea mkuu nimeguswa kwenye mchango
Wa
HALI
MALI
MAOMBI

wenyenkuelewa waajumuike hii ni moja yaa baraka ninayofanyanakufanikiwa
 
Back
Top Bottom