Wakuu kwema,
Kama kawa mpenda watoto weusi jembe, safari hii nimebahatika kupata safari ya mzunguko wa miji taja hapo juu, nina wageni, naanzia Serengeti na Ngorongoro then huko.
Sasa wadau...
A husband wrote a message to his wife on his official trip and forgot to
add 'e' at the end of a word...
"I'm having such a wonderful time! Wish u were her....!
Habari za mchana huu members?Binafsi huwa navutiwa sana kimapenzi na msanii wa kike Irene Paul.Nimeweka nadhiri pindi ntakapopata wasaa nae japo dakika 5 tuu,Ntamfungukia ile mbaya kudadadeki...
Ndgu Watanzania nmeamua kuwa mkweli kabisa. Baada ya taifa Stars kupewa yale MAJEZI na Adidas nlchukizwa mno kupokelewa na hao viongozi wetu wa TFF. nlipaza sauti yangu kupitia mitandao ya kijamii...
nilipokuwa nasoma zamani shule ya msingi mkoani Tanga, tulikuwa na mwl mkuu muoga sana. Alikuwa mwanaume , mweupe tena very handsome. Siku 1 usiku alikuwa anaoga, mabafu ya kule yametengenezwa...
Na Mwandishi Wetu
Kama ni uongo, basi huu utakuwa umepitiliza na ikiwa tuhuma hizi ni za kweli, itakuwa ni aibu kwa sababu madai yanayozagaa mjengoni ni kwamba, Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima...
NATOA RAI KWA TEAM BAZAZI(maana;changamoto za mapenzi) HUJUMA DHIDI YA TEAM RAFIKI
HUJUMA DHIDI YA TEAM #RAFIKI
SIMPLY KAMA HUNA NDOA YOU BELONG TO TEAM BAZAZI KAMA UNAHISI TUNAKUONEA WEKA...
Kama mnavyojua zombi halishibi damu. Nilipata contract pale Manzese J5 iliyopita katika kushangaa shangaa mida ya lunch nikaona mtoto akanivutia.
Nikaweka sera akazikubali akadai yeye ni f6...
makamanda hapo mzambarauni kijiwe cha chadema wilaya ya ilemela mpo?Mbona kimya sana?matucha,mjege,serikali,msafiri na wengine mbona kimya sana?tuendelee kupambana,ccm ni janga ni lazima tupambane...
Mwadilla
Inanishangaza sana sielew kwanini watu wanajichanganya sana
yaaini mtu huyo huyo anagombewa na watu double double
halafu huyo huyo naye anajichanganya kwa lugha laini kwa
wote bila ya...
Habariini marafiki
SOMO MARIDHAWA KWA WANAUME MICHEPUKO
Awali ya yote nimeingia kuwapa sindano wale wote ambao wanajifanya kichwa
kichwa kwa kila jambo na kujifanya wanajua kumbe wanahemea...
Habari wadau,
Nilikua nauliza kwa wenyeji wa bagamoyo, maeneo gani mazuri yenye bei nafuu naweza kwenda na bibiye weekend hii kuikaribiisha Idd..
Tunataka fikia sehemu ambayo karibu na Beach...
Viongoz wa cku hizi utaskia cjui dokta bilal, dokta jk, profesa lipumba, profesa .....! Yaani hakuna anaetaka title ya MWALIMU kama ilivokua kwa kiongoz wa kwanza Mwalim jk nyerere
Kama yupo ebu...
Jamani binafsi nampenda sana mpenzi wangu huyu, tatizo ni kwamba alishawahi kusalitiwa na nahisi ndicho kinachomfanya asijiamini kama mimi nampenda.
Lakini kutoka moyoni nampenda sana.
Je...
Nina ndugu yangu,ofukozi he is of age,miaka 39 ila hajaoa wala hana mtoto ila ana mahusiano/mapenzi na wanawake wengi sana,tunaweza kumuita profesheno pleya. Ana kazi yake nzuri tu,ni treasury...
Kama upo uwanja WA Taifa, nyoosha kidole chako juu, ntakuona, Mimi ndio huyo hapo karibia na goli napiga danadana, umenionaee, haya mpira mwema tupate ushindi na hivi Leo wamegawa vibendera, wacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.