Joke every day!!!

Joke every day!!!

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547
Naomba Nkuulize Swali...
"Hv ikitokea cku 1 ukagundua kua MENO yako yote yana thamani kuzidi yale ya TEMBO na Gharama yake km utauza ni Us Dola laki 1.sawa na Tsh MI 250, kwa kila JINO 1!"
Utafanya nini?
Nambie Ukweli c utabakia Kibogoyo!!
 
Natoa yote natunza benki maana wahuni wakielewa siri yangu nimekwisha.Kisha naanza kujichukulia midola kwa ulaini huku nimeweka ya bandia!
 
Well, $100,000 * 32 = $3,200,000 = Tsh 5,120,000,000..

Ningeuza yote kisha naweka meno ya bandia hata kwa Tsh Mil 50....
 
nauza moja tu la pembeni, napata mtaji kisha napiga mabissness... afu naanza kulangua ya watu nauza, wanao penda vya kirahisirahsi na wasio thamini meno yao asilia
 
Kazi yangu itakuwa kufukua makaburi na kung'oa skeleton meno.
 
Back
Top Bottom