JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habarini wana MMU, jamani kuna watu wanaboa sana mitaani sijui ni umbea au ni nini, yani ukipata mgeni nyumbani kwako watu macho juu wanataka kujua huyo aliyekuja ni nani na amefata nini yani ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani ni juzi tu hapa nimeanza mahusiano na binti moja wa kimwasi kiukweli nampenda ila sasa, ameanza katabia cha kuniita pamoja na kunitumia message zenye kiianzio cha "Hubby" na kiishio cha...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
kwa yeyote aliye macho mpaka saa hizi mbovu basi tuchat, tupeane faraja na kubadilishana mawazo tafadhali
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wadau. Napenda tu tufahamiane japo kwa ID zetu hizo na kukumbushana ya nyuma kwakuwa ndio sisi tuliobaki na hakuna tena kizazi cha sasa cha Mazengo kwakua ni St. John University...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
kumekua na tatizo katka wapenzi wetu ilihali wengi wao hushindwa kuwaambia ukweli wahusika wao! []>Kama wewe mpenzi wako ana 1)kinywa, 2)Miguu, 3)Kwapa, 4)mwili mzma, 5)hata sehemu zake za siri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi guys, nimependa tufurahie kidogo wote akili ya huyu BAKARI vs Boss wake.... Haya power to youuuu.... Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye...
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Jamaa kaingia kwenye choo kwenye baa moja yenye vyoo kadhaa. Ile anataka kukaa akasikia sauti toka choo cha pili.... Sauti: "Vipi mambo?" Jamaa: (Kwa upole) "Poa tu..." Sauti: "Unafanya nini...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
.,..,,.. Wanaume mwaonaje matatizo yetu yote ya ki ma haba tuyashushe hapa..,@?
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya mambo ambayo mwanamke anawaza anapopishana na mwanaume njiani. 1.Kwanza hutazama tembea yako,kisela au kiheshima ili ajue kama una kazi au laa 2.Kama nguo zako zimefubaa basi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna watu kila siku kulalamika wanapata choo kigumu na maumivu wakati wa k.unya. Kunywa maji wavivu, unakunywa glass 1 kwa siku! Kula matunda ndio kabisaa mpaka daktari amwambie! Kuna vitu...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni usiku wa kuamki leo,hii ndoto ina nitaka nimkarimu madam wa field kutoka udsm kwa mahitaji yake yote ya kimwili,kikazi na mengineyo na nisipo fanya hivyo nitapata mkosi. Nawaza sijui...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baada ya uvumilivu kumshindan Mwanaume mmoja amekuwa jasiri kwa kuanika wazi visingizio ambavyo mke wake alikuwa anavisema jamaa akimwomba haki yake ya ndoa (tendo la NDOA). Baada ya kupigwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo nimemsikia mzee wa upako anasema wachaga ni kabila la neema toka enzi huwezi kuwafananisha na makabila mengine. Mzee wa upako amesema huwezi kumfananisha mchaga na mnyakiyusa maana mchaga sio...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuna mdada nampenda xana ila yeye anampenda sana mshikaji wangu eti nifanye nn? naomben maoni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu! Nimepata wazo la kutuunganisha na kutukumbusha mbali,kama sio sisi wenyewe basi tutawakumbuka hata baadhi ya watu kama wanakijiji,waalimu,wenyeviti wa kijiji,mashekh,mapadri n.k.kwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kupitia gazeti flani lenye kolamu ya kutafuta wachumba na marafiki na mimi niliamua tu kujaribu ili nione kwamba ni kweli watu huwa wanapata?..... haya hapa matokeo:- Dar nilipata 108, Tanga 32...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habarini wadau marafiki Ninaoposema kuwa Upendo haumo katika maneno bali ni vitendo ni kitu ninachomaanisha hapa kwani tumeona wengi wakisema bila kutenda wala kuonesha kile wakisemacho kwa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za mchana wanaJAMII! eti watanganyika wenzangu: baba Mungu alimaanisha tuishi hivi? Hebu angalia maisha ya watanganyika vijana wengi waliomaliza elimu ya juu yalivo: Elimu - wengi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
NANI ANAKATAA? 1.Safari ya miguu kwa maskini ni mateso tena ugonjwa, ila kwa Tajiri ni zoezi tena tiba tosha. 2. Dagaa kwa maskini ni mlo wa maumivu ni shida zinasababisha, ila kwa Tajiri ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom