UTAFITI kapotelea wapi?BAR zote nimepita kimya!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Ni muda sasa huyu jamaa kawa kimya kabisa,nimekuwa najiuliza amekumbwa na mkasa gani huyu ndugu yetu utafiti?Zipo sehemu nilizoea kukutana naye kama pub ya PICHA na bar ya MMU lakini ghafla kawa kimya kabisa
Mwenye taarifa zake huyu mkuu atufahamishe tujuwe kama ni mzima yeye na familia yake Mr Rocky alikuwa swaiba yake mkubwa lakini kwa bahati mbaya Rocky yupo kijijini kwao marangu kwa maombolezo ya baba yake,pole tena man.
Huyu utafiti ni mlevi mzuri wa bar zote bar yake kubwa ni MMU na kwenye bar ya picha kote nimepita sijamkuta nikaenda mpaka Siasani bar napo hayupo kule kwenye bar yenye malaya wengi ukubwani napo nimepita kimya hajafika huko ni mwezi sasa.
Kwa anayejuwa wapi ndugu yetu@utafiti alipo tufahamishane hapa.
 
Last edited by a moderator:
mara ya mwisho aliaga kwao amepanda ile ndege ya malayasia
 
hujui amekwenda kwao bagdad kushiriki mechi za fimbo mshangao kule
na yeye ni kapteni hivyo akikosa team yake itadidimia chini

Ni muda sasa huyu jamaa kawa kimya kabisa,nimekuwa najiuliza amekumbwa na mkasa gani huyu ndugu yetu utafiti?Zipo sehemu nilizoea kukutana naye kama pub ya PICHA na bar ya MMU lakini ghafla kawa kimya kabisa
Mwenye taarifa zake huyu mkuu atufahamishe tujuwe kama ni mzima yeye na familia yake Mr Rocky alikuwa swaiba yake mkubwa lakini kwa bahati mbaya Rocky yupo kijijini kwao marangu kwa maombolezo ya baba yake,pole tena man.
Huyu utafiti ni mlevi mzuri wa bar zote bar yake kubwa ni MMU na kwenye bar ya picha kote nimepita sijamkuta nikaenda mpaka Siasani bar napo hayupo kule kwenye bar yenye malaya wengi ukubwani napo nimepita kimya hajafika huko ni mwezi sasa.
Kwa anayejuwa wapi ndugu yetu@utafiti alipo tufahamishane hapa.
 
Hahahah umenichekesha et baa yenye malaya wengi
 
Back
Top Bottom