Happy birthday son

Happy birthday son

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,048
Reaction score
4,449
Hope mko fine nawatakia na weekend njema pia.

Najisikia furaha sana kwa first born wangu kutimiza mwaka mmoja
Namtakia maisha mema na yenye mafanikio tele.
kwa wale mlionitangulia kupata mtoto na ambao nimewatangulia wote kwa pamoja nawapongeza sana na hata kama huna mtoto usikate tamaa one day utampata.

Thanks to God.
 
Hongera mkuu kwa kujaaliwa hilo. Mungu amkuze mtt na ampe afya njema. Awe na tabia njema, akili nzuri na sababu ya furaha yenu wazazi wake. Awe stara yenu na awe mwenye kumpenda Mungu wake na dini yake. In sha Allah. Ameen
 
Hakika maneno yako yakatimie kwake. thx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom