Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Sina nia ya kum-attack member yeyote wa JF ila nimegundua makundi mawili hatari ndani ya jukwaa hili lenye nia njema......
1. Wajivuni..
→hawa hupenda sana kusifia maeneo wanayotoka...utasikia kwetu marangu, mm mchaga bhana....hata ID zao hutaziona e.g misschaga.....
→mara nyingi wanapo comment kwa kutumia simu utaona signature zao eg sent from my i-phone smart phone....
→ Pia hupenda kujionyesha wanaijua sana dar kuliko wengine....
2. Waongo na wanafiki.....
Hawa ndo hatari zaidi kwa ustawi wa taifa langu pendwa Tanzania...hupenda sana kujiita wanaharakati wakati hata ID zao siyo verified..mwanaharakati ni yule anajiweka wazi na watu kumtambua.
Hivi unawezaje kumuua nyoka kwa kutumia fimbo ndefu? Nchi haitajengwa na waongo/wanafiki...kama kweli nyie ni wanaharakati toeni hayo matusi kwa viongozi kwa kutumia verified ID.....
Narudia tena sina nia ya kum-attack mtu....
Mimi na Tanzania taifa langu pendwa....
Mungu ibariki Tanzania

Last edited by a moderator: