Mwanamke huyu ni kiboko!

Mwanamke huyu ni kiboko!

BatteryLow

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
446
Reaction score
149
Mke wa m2 alichelewa kwenye ulabu hadi saa 7 ucku akaogopa atamwambia nn mme wake. Basi akaamua kupitia kituo cha polisi na kumuita askari m1 chobisi na kumwambia: "Kwa kweli nimechelewa kurudi nyumbani na hapa nilipo nimelewa, naogopa nikifika nitamwambia nini mume wangu, hivo bac nampigia cm uongee naye umwambie mke wako yuko hapa kituoni amekamatwa, halafu akija muweke sawa mchomee 50,000 mniachie, unipe 20,000 ubaki na 30,000". Mume akapigiwa akaja akachomolewa 50,000 mke akakunjiwa 20,000 kwa siri wakaishia zao home, chezea mjini wewe!
 
Vipi bado tu ile roho ya kupenda wake za watu inakuandama?
 
Mke wa m2 alichelewa kwenye ulabu hadi saa 7 ucku akaogopa atamwambia nn mme wake. Basi akaamua kupitia kituo cha polisi na kumuita askari m1 chobisi na kumwambia: "Kwa kweli nimechelewa kurudi nyumbani na hapa nilipo nimelewa, naogopa nikifika nitamwambia nini mume wangu, hivo bac nampigia cm uongee naye umwambie mke wako yuko hapa kituoni amekamatwa, halafu akija muweke sawa mchomee 50,000 mniachie, unipe 20,000 ubaki na 30,000". Mume akapigiwa akaja akachomolewa 50,000 mke akakunjiwa 20,000 kwa siri wakaishia zao home, chezea mjini wewe!

Na wasiwasi na ID yako..
 
Kosa please?

Hata charge sheet hamna?

Si nakuacha tu ulale... Kwani polisi ni jehanam?
 
Back
Top Bottom