Amini Usiamini: wabunge hawa wanasagana!

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Na Mwandishi Wetu
Kama ni uongo, basi huu utakuwa umepitiliza na ikiwa tuhuma hizi ni za kweli, itakuwa ni aibu kwa sababu madai yanayozagaa mjengoni ni kwamba, Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee ana uhusiano wa kimapenzi na mwenzake wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Mara, Ester Bulaya.

Tuhuma hizo zinadai kuwa, Halima na Ester wana uhusiano wa vitendo vya usagaji kwa muda mrefu, huku wakigeuka gumzo ndani na nje ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

NI GUMZO BUNGENI
Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde alisema kuwa tuhuma hizo za Halima na Ester kuwa na uhusiano usiofaa ameshazisikia lakini hana uhakika nazo.
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee.​
“Ni habari ambazo tunazo lakini sina uthibitisho. Huo ndiyo ukweli wangu.”
Wabunge wengine waliozungumza na gazeti hili, kila mmoja alikiri kusikia tuhuma za wabunge wawili wanawake kuwa na uhusiano wa kisagaji lakini waligwaya kutaja majina ya wahusika.

IDD AZZAN, KINONDONI (CCM)
“Hizo tetesi nimeshazisikia lakini sijui kwa undani. Hayo mambo yanasemwa bungeni lakini siwezi kuwataja kwa majina kwa sababu hakuna aliyewahi kuthibitisha.”

DAVID KAFULILA, KIGOMA KUSINI (NCCR-MAGEUZI)
“Kuna tetesi za namna hiyo, ingawa mazingira ya siasa za Tanzania usiwe mwepesi kuamini katika tetesi, ndiyo maana mimi kama kiongozi siwezi kuzungumzia tetesi na vitu ambavyo sina uhakika navyo.”

AESHI HILALI, SUMBAWANGA MJINI (CCM)
“Nimeshasikia watu wanazungumza lakini sina uhakika. Siwezi kuwataja majina kwa sababu sijawahi kuthibitisha, ingawa ni ukweli kwamba hilo linazungumzwa karibu bunge zima.”

FELIX MKOSAMALI, MHAMBO (NCCR-MAGEUZI)
“Ha ha haa, nimewahi kusikia hizo habari lakini hawajawahi kufumaniwa, kwa hiyo hakuna mwenye uhakika. Mimi siwezi kuwa shahidi kwa sababu sijawahi kushuhudia chochote zaidi ya kusikia habari za watu.”
Hata hivyo, kuna wabunge walikanusha.

JOSEPH MBILINYI ‘SUGU’, MBEYA MJINI (CHADEMA)
“Dah, hizo habari kwangu ni mpya. Sijui kabisa.”

REGIA MTEMA, VITI MAALUM (CHADEMA)
“Hizo tuhuma za watu kuwa na uhusiano wa kusagana sijawahi kuzisikia popote.”

SPIKA MAKINDA NAYE?
Spika wa Bunge, Anne Makinda alipopigiwa simu ili atoe ufafanuzi wa jambo hilo, alisema kuwa hawezi kuzungumza kwa sababu yupo safarini. Hata hivyo, hakusema anakotoka na wala anakoelekea.

Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Mara, Ester Bulaya.​
Ijumaa Wikienda lisingeweza kwenda kiwandani bila kuwapa nafasi ya msingi watuhumiwa hao kujieleza kuhusu madai hayo.

Kwa upande wake, Halima alikiri kuwepo kwa shutuma hizo ambapo alisema si ngeni na kwamba ilianza kuchanua kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2010, kwani wapinzani wake walitaka kuitumia kama silaha ya kumshinda, hata kwenye magazeti ilichapishwa.

“Kwanza nashukuru sana kwa kunipa nafasi hii ya kujieleza, si madai mapya, ni ya siku nyingi sana. Yalianza wakati wa Uchaguzi Mkuu 2010, baadhi ya magazeti yakaandika. Aisee, ni siasa tu hizi,” alisema Mdee.

Akaongeza: “Mimi ni public figure (mtu wa jamii) kwa hiyo kusemwa au kusingiziwa ni vitu vya kawaida, maadui wapo na marafiki pia.

“Hata hivyo, naangalia maisha yangu, siwezi kuishi kwa hofu ya nani atasema nini. Hayo mambo ni ya kisiasa lakini hayana ukweli. Wanaonifahamu, wanajua naishi vipi, toka sekondari hadi chuo kikuu.

“Lakini ndugu (mwandishi) nasisitiza, madai hayo si ya kweli, hakuna kitu kama hicho kwangu.”
Kwa upande wa Bulaya, alipopigiwa simu, Julai 23, mwaka huu saa 9: 52, 9:59, 10:28, mara zote iliita na kukatwa.
 
Watu wazima wawili ambao hawajaoa/ kuolewa wanachotaka kufanya kati yao ni juu yao, mimi hakiniongezei wala kunipunguzia kitu.

Leteni issues zao bungeni, huyo Mdee na mwenzake washawahi kuchangia michango vipi?

An overobsession with sexual purity is a sign of backward societies.
 
Watu wazima wawili ambao hawajaoa/ kuolewa wanachotaka kufanya kati yao ni juu yao, mimi hakiniongezei wala kunipunguzia kitu.

Leteni issues zao bungeni, huyo Mdee na mwenzake washawahi kuchangia michango vipi?

An overobsession with sexual purity is a sign of backward societies.

Hujafa hujaumbika = Hujawa mwanasiasa hujachafuliwa
 
Kuna mama mmoja (mbunge),Wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya Ustawi wa jamii,jinsia na watoto.....aliomba serikali itoe tamko kuhusu wasagaji na Wale wanaume wanaojihusisha na vitendo vya ushoga!Naibu waziri wa Afya,Akaipotezea kwa kusema hao wanaojihusiha na vitendo hivyo ni mapunguani na watafutiwe dawa ya akili...

Kumbe yawezekana mbunge huyu aliwalenga baadhi ya wabunge wenzaeke!Maana alionyesha km anawajua watu wanaofanya vitendo hivyo na alitaka serikali isaidie kuwaadhibu!
 
Wahusika wamekataa! ushahidi utafutwe ili tuhakikishe,au tuseme lisemwaloliko kama haliko linakuja?
 
Watu wazima wawili ambao hawajaoa/ kuolewa wanachotaka kufanya kati yao ni juu yao, mimi hakiniongezei wala kunipunguzia kitu.

Leteni issues zao bungeni, huyo Mdee na mwenzake washawahi kuchangia michango vipi?

An overobsession with sexual purity is a sign of backward societies.

word..you can say that again!
 
Watu wazima wawili ambao hawajaoa/ kuolewa wanachotaka kufanya kati yao ni juu yao, mimi hakiniongezei wala kunipunguzia kitu.

Leteni issues zao bungeni, huyo Mdee na mwenzake washawahi kuchangia michango vipi?

An overobsession with sexual purity is a sign of backward societies.

That is how baadhi ya waandishi wa habari wanapofocus... halima na esta; sio masuala nyeti ya nchi iliyokwishapiga magoti
 
Ok, lets say kweli ni wasagaji...eheeee je itatuletea umeme? itapunguza mikataba feki? itapunguza maisha magumu kwa watanzania? Kama hapana basi ni ujinga kwa Bunge kujadii mambo ya kijinga namna hio, nayaita ya kijinga kwasababu sio tuliyowachagua ili wakafanye, kweli mbunge analipwa millions kwa ajili ya kushabikia ushenzi wa namna hio, No, siamini kama ni bunge kweli au genge la wahuni na watoto waliokosa malezi kwa jamii!!

Narudia tena kama ushoga/usagaji wao hauna faida kwa ugumu wa maisha basi bunge na wabunge wafanye kazi iliyowapeleka na sio kujadili nonsense, je uchafu na uasherati wanaoufanya wengine mbona haujawahi kujadiliwa bungeni?? nani asiyejua kuwa machangudoa wote wamekimbilia Dodoma? mbona watu wako kimya?? huu ni ujinga kwa mhimili wa taifa kujadili upuuzi.
 
"Simple minds discuss people"
Mdee au yeyote awaye, ana uhuru wa kuishi anavyotaka na anayetaka bila ya kujali kama ni mume au mke.
Kama utaangalia idadi ya waliotoa mawazo yao, utaona wengi wao ni wanaume (Kipingu, Kafulila, Mkosamali...) na ajabu, wote walioshadidia hilo ni kutoka vyama pinzani.
Upuuzi mtupu!
 
waache wasagane kwani wamewasaga nyie halafu watu wengine bwana mona nyie mnaliwa tigo hakuna anaewajadili au tuwataje jadili mambo yenye maslahi kwa taifa na sio ujinga hayo ni maisha ya mtu binafsi acheni ujinga
 
Mmh mpwa wangu huku umepitiliza bana, punguza hasira kidogo, si unajua wengine pale ni wazazi wetu? tusiwatusi ila tuwakosoe kwa hoja. Thanks
waache wasagane kwani wamewasaga nyie halafu watu wengine bwana mona nyie mnaliwa tigo hakuna anaewajadili au tuwataje jadili mambo yenye maslahi kwa taifa na sio ujinga hayo ni maisha ya mtu binafsi acheni ujinga
 
haya ni mambo ya siasa maana mtu kama Halima anavyoibua mambo lazima azushiwe tu mimi nasema halima big-up kaza huziii
 
Wanasagana banaa!hakuna siasa wala nini!na sio utamaduni wa mtanzania!uchafu uchafu!
 
Sasa Ester jamani na uzuri wote ule si ani PM nimpe kitu muhogo wa jang'ombe atulize munkari!
 
Back
Top Bottom