One spelling mistake can destroy your life!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
23
A husband wrote a message to his wife on his official trip and forgot to
add
'e' at the end of a word...

"I'm having such a wonderful time! Wish u were her....!
 
duuu patamu apo!!
io erufi ataimalizia wakat yupo uvungun tayar manake hapatatosha:grouphug:
 
Hah ha ha ha! hapo maji ya shingo.
Inanikumbusha mwanafunzi wa form iv aliandika kuhusu viumbe hai katika somo la biology.
Title: Living Orgasm badala ya living organism
 
Ndio tujue mchakato mzima wa kujielezea wakati tunapokosea kijierufi
 
Lakini kwa sisi madume wazee wa lyrics tunajitetea mara moja, kwanza huko mama alipo unakuta karibu anapasuka
 
A husband wrote a message to his wife on his official trip and forgot to
add 'e' at the end of a word...

"I'm having such a wonderful time! Wish u were her....!
you make my day,itakuwa ni vurumai yakutosha
 
mi ilinitokea siku moja nilimtex kakangu mkubwa sana kwangu (badala ya kusema KUNA 1 PERSON NASUBIRI NILAINDIKA **** 1 PERSON)DUU ALINIMIND BALAA
 
haki ya nani, nakutumia talaka huko huko ulipo, na usirudi home
 
Back
Top Bottom