Mimi ndiye mchawi wa Taifa Stars

NGARUKA

JF-Expert Member
May 5, 2014
401
70
Ndgu Watanzania nmeamua kuwa mkweli kabisa. Baada ya taifa Stars kupewa yale MAJEZI na Adidas nlchukizwa mno kupokelewa na hao viongozi wetu wa TFF. nlipaza sauti yangu kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook,blogs na JF lakin sikusikika na kweli timu ikapewa yale majezi. Hv jamani ni jezi gani zile zisizoakisi bendera yetu ya taifa? Majezi kama ya Somalia vile,bendera yetu ina rangi 4 bluu,kijani,njano na nyeusi. hiyo rangi ya mpauko ya taifa gani? ndo maana nchi hii watu wanafanya ufisadi na wakuu wako kimya tu,hatimaye tunarudi nyuma. hayo majezi serikali kweli mmeyakubali?
Nitajieni jezi za timu ya taifa lolote lililoendelea kisoka ambao jezi zao hazitambulishi bendera ya taifa?
MAADA SASA.
Nmeamua kuiwangia taifa stars,nlianza na mechi ya Zimbabwe lakini dawa zangu zilikuwa hazijakamilika,baada ya kufuata ile namba mbili sasa niko kamili. Binafsi najua NAROGA taifa jingine tu. Mechi ya marudiano na msumbiji tutafungwa 2 bila na kutolewa na NITAHAKIKISHA hata michuano ya CECAFA hatuvuki makundi. Hata kama ni kuogopa ushabiki wa simba na Yanga,jezi zile za bluu zina kosa gani?
Nitaroga mpaka hata FIFA ranking tuwe wa 150 hv.
Nahaidi kama majezi hayo yakitupwa,nachoma NDUMBA zangu.
TANZANIA OYEE
 
Peleka mapepo yako hukoooo.
Ndo maana ulikimbia jando.

........ ongelea jezi...
.........
 
images

Hawa nao imekuwaje jezi zikatofautiana na bendera halafu ni mabingwa wa dunia mara 4?
 
HAwa je?

Hawa nao jezi wala hazina unasaba na bendera... Lakini walifika nusu fainali.

stock-vector-holland-football-jersey-abstract-vector-image-of-the-netherlands-football-team-kit-along-with-the-181158338.jpg
 
nitaroga tu mpaka Majezi hayo ya Alshabab yabadilishwe.
 
Ndgu Watanzania nmeamua kuwa mkweli kabisa. Baada ya taifa Stars kupewa yale MAJEZI na Adidas nlchukizwa mno kupokelewa na hao viongozi wetu wa TFF. nlipaza sauti yangu kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook,blogs na JF lakin sikusikika na kweli timu ikapewa yale majezi. Hv jamani ni jezi gani zile zisizoakisi bendera yetu ya taifa? Majezi kama ya Somalia vile,bendera yetu ina rangi 4 bluu,kijani,njano na nyeusi. hiyo rangi ya mpauko ya taifa gani? ndo maana nchi hii watu wanafanya ufisadi na wakuu wako kimya tu,hatimaye tunarudi nyuma. hayo majezi serikali kweli mmeyakubali?
Nitajieni jezi za timu ya taifa lolote lililoendelea kisoka ambao jezi zao hazitambulishi bendera ya taifa?
MAADA SASA.
Nmeamua kuiwangia taifa stars,nlianza na mechi ya Zimbabwe lakini dawa zangu zilikuwa hazijakamilika,baada ya kufuata ile namba mbili sasa niko kamili. Binafsi najua NAROGA taifa jingine tu. Mechi ya marudiano na msumbiji tutafungwa 2 bila na kutolewa na NITAHAKIKISHA hata michuano ya CECAFA hatuvuki makundi. Hata kama ni kuogopa ushabiki wa simba na Yanga,jezi zile za bluu zina kosa gani?
Nitaroga mpaka hata FIFA ranking tuwe wa 150 hv.
Nahaidi kama majezi hayo yakitupwa,nachoma NDUMBA zangu.
TANZANIA OYEE

nyambaff wahed... kuendekeza ujinga tu hadi kwenye public
 
...hili litakuwa ni moja kati ya yale mapepo yanayomlinda mwenyekiti wa chama,bila shaka limehasi...
 
nyie ngoja mapovu yawatoke mtanitafuta tu kuniomba msamaha.
mi nawajua mna masilahi na hilo li-adidas lenu. sasa mpaka mtashika mkia FIFA RANKING. Kenya licha ya kuwa na mgogoro mpaka kufungiwa na FIFA wako top 100. sisi mipango mingi utekelrezaji F
 
Back
Top Bottom