Ninampenda sana mtoto wa kikurya sema yeye hajiamini kama nampenda kweli

mgoli magombe

Senior Member
Apr 20, 2013
121
27
Jamani binafsi nampenda sana mpenzi wangu huyu, tatizo ni kwamba alishawahi kusalitiwa na nahisi ndicho kinachomfanya asijiamini kama mimi nampenda.

Lakini kutoka moyoni nampenda sana.

Je nifanyeje ili aniamini?
 
Kama ni Mkurya jifunze kumpa kichapo...hao hadi wakichezea kichapo ndio hujua kuwa wanapendwa...
 
hongera kwa kumpata binti mzuri ni kweli baadhi yao ni wazuri sana
kaa nae chini zungumza nae atakuelewa tu
 
kaa nae chini umueleweshe na vile vile matendo yako atakubali kua unampenda,lakini ukiwa una vitu vya ajabu ajabu na una expect akuamini hiyo haitowezekana............
 
nenda nae taratibu tu mtaelewana. Ni kawaida kwa waliosalitiwa kuogopa kujiingiza katika mahusiano mapya
 
Back
Top Bottom