Eti hata paka ana watoto

Eti hata paka ana watoto

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,147
Reaction score
20,085
Nina ndugu yangu,ofukozi he is of age,miaka 39 ila hajaoa wala hana mtoto ila ana mahusiano/mapenzi na wanawake wengi sana,tunaweza kumuita profesheno pleya. Ana kazi yake nzuri tu,ni treasury officer wa benk moja hapa nchini.

Leo tulikua tunazungumza mambo mengi,nikamuuliza bro mbona huoi,akaniuliza nioe ili iweje,nikamjibu uwe na familia,yaani watoto,akaniambia kitu hataki kusikia ni mimba au mtoto,kwamba kua na mtoto/watoto sio sifa,maana hata paka ana watoto.

Hilo jibu eti hata paka ana watoto limenimaliza,nimekosa la kuuliza tena,jamani je hili la ndugu yangu kutokutaka watoto ni aina gani ya matatizo?
 
mwache ale ujana tu..siku ubabu ukimkuta atakuwa hana hata mjukuu wa kumuanika juani...ndio atakapojua paka ni nani na binadamu ni nani..nyambafuuu!!!
 
Huyo alishajijua ni mgumba aisee ndo maana anatoa kauli za ivo
 
Kuwa na wanamwake wengi inathibitshaje kuwa wewe ni 'profesheno player' as you argued?

Mbona mi ninao 7 ila sio player?
 
Mmh atakuwa ana matatizo huyo si bure, we wanawake wote hao afu hana hata mtoto wa kusingiziwa mmmmh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nina ndugu yangu,ofukozi he is of age,miaka 39 ila hajaoa wala hana mtoto ila ana mahusiano/mapenzi na wanawake wengi sana,tunaweza kumuita profesheno pleya. Ana kazi yake nzuri tu,ni treasury officer wa benk moja hapa nchini.

Leo tulikua tunazungumza mambo mengi,nikamuuliza bro mbona huoi,akaniuliza nioe ili iweje,nikamjibu uwe na familia,yaani watoto,akaniambia kitu hataki kusikia ni mimba au mtoto,kwamba kua na mtoto/watoto sio sifa,maana hata paka ana watoto.

Hilo jibu eti hata paka ana watoto limenimaliza,nimekosa la kuuliza tena,jamani je hili la ndugu yangu kutokutaka watoto ni aina gani ya matatizo?

mbona wala sio tatizo....ni choice yake anataka kula rah bila kuwa na commitmenrs za kifamilia.
kwa kweli ni upuuzi mtu anakuuliza so wee hutaki ukifa ukumbukwe kwa kuacha jina lako? nikumbukwe ili iwaje...naishi maisha yangu mwenyewe not to please others.
 
mwache ale ujana tu..siku ubabu ukimkuta atakuwa hana hata mjukuu wa kumuanika juani...ndio atakapojua paka ni nani na binadamu ni nani..nyambafuuu!!!
kula bata mpaka kuku wanaandamana...loading error...
 
ni bora anayeamua kutokuwa na mke/watoto, anajua analofanya.
 
tatzo tunaishi kwa kukariri sana...mwache ale maisha
 
Muachie asioe hujui kama population yetu kubwa kulingana na social service zinazotolewa?
 
Huyo alishajijua ni mgumba aisee ndo maana anatoa kauli za ivo

Sina hakika na hilo ila najua alishawahi kukataa mimba nyingi tu. Sasa sijui kama kweli zilikua zake kweli au alikua anasingiziwa.
 
Kuwa na wanamwake wengi inathibitshaje kuwa wewe ni 'profesheno player' as you argued?

Mbona mi ninao 7 ila sio player?

Saba wachache sana mheshmiwa Excel, single digit sio profesheno player kabisa. Mimi mwenyewe nina double digits ila sio profesheno. Jamaa yuko na double digits kubwa.
 
Last edited by a moderator:
mbona wala sio tatizo....ni choice yake anataka kula rah bila kuwa na commitmenrs za kifamilia.
kwa kweli ni upuuzi mtu anakuuliza so wee hutaki ukifa ukumbukwe kwa kuacha jina lako? nikumbukwe ili iwaje...naishi maisha yangu mwenyewe not to please others.

Nimekuelewa mkuu.
 
Life is all about Choices. ulizaliwa peke yako na utakufa pake yako
 
Back
Top Bottom