jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Wakuu kwema,
Kama kawa mpenda watoto weusi jembe, safari hii nimebahatika kupata safari ya mzunguko wa miji taja hapo juu, nina wageni, naanzia Serengeti na Ngorongoro then huko.
Sasa wadau naombeni msaada wenu wa kupata guest house ya wastani 20000 kwa siku. Maana wageni watalala lodge za bei juu kidogo na ukizingatia tuko kwenye utafutaji.
Dom nitakuwepo 26 july hadi 28, Moro 28 hadi 30, Dar 30 hadi 1 aug, naombeni msaada wenu mlio dom na moro, jembe.