Basi tu sasa ntafanyaje

wazabangah1

JF-Expert Member
Jul 16, 2014
315
114
Jamani ni juzi tu hapa nimeanza mahusiano na binti moja wa kimwasi kiukweli nampenda ila sasa, ameanza katabia cha kuniita pamoja na kunitumia message zenye kiianzio cha "Hubby" na kiishio cha neno hilo hilo.

Yaani kusema ukweli nakereka basi tu yeye hajui na bado hajagundua kwamba nachukia, kiukweli mi sifagilii ndo kwanza mahusiano yako katika ngazi ya kijiji yaani bado kabisa.
 
...wanawake ni SILAHA hatari sana ambayo hutumiwa na SHETANI kumwangamiza Mwanamume.
ADAMU aliangushwa na shetani kupitia EVA (HAWA),
SAMSON aliangushwa na shetani kupitia DELILA,
YOHANA mbatizaji aliuawa kikatili kupitia BINTI HERODIA:
YUSUFU alifungwa MISRI kupitia mke wa mfalme.
Mfalme DAUDI alianguka kupitia mke wa Huria.
Hivi KARIBUNI KANUMBA alianguka kupitia LULU. Unahitajika umakini zaidi, ukiona unaitwa BABY wakati unajijua wewe ni mtu mzima na midevu yako jua upo hatarini kuumia...
 
wazabaghai1
Lamsingi Mweleze Unapenda Nini Na Upendi Nini, ,
Lakini Kumbuka Ktk Mahusiano Kila M2 Ananamna Yake Anavyopenda Kumwita Ampendaye, ,
Pengine Anapenzi La Dhati Na Anaona Mbali, ,kuwa Wewe Ni Mume Na C Mwanaume To Ama Wavulana Wengne
NB:galz Lyks 2b With Man Who Call & Take Them As Woman But Not With Boys Who Call/Take Them As Girls
 
Last edited by a moderator:
Mi sioni hata kama kuna ugumu hapo.

Kwakuwa ndio mko hatua ya awali c vibaya ukamwambia kwan endapo hiki kitakushinda je kikitokea kitu zaidi ya hiki usichokipenda utafanyaje?
 
Sasa usipomwambia atajuaje kama una mkera....mwambie bwana kama haupendi......
 
Mi sioni hata kama kuna ugumu hapo.

Kwakuwa ndio mko hatua ya awali c vibaya ukamwambia kwan endapo hiki kitakushinda je kikitokea kitu zaidi ya hiki usichokipenda utafanyaje?

sina budi kufanya hivyo, ila wakati mwingine nahisi kama ntamkera ni kimfungukia live, so natafuta angalau kanjia soft kasicho peleka hisia yake mbali.
 
sina budi kufanya hivyo, ila wakati mwingine nahisi kama ntamkera ni kimfungukia live, so natafuta angalau kanjia soft kasicho peleka hisia yake mbali.

Kama anakupenda kwa dhati hawezi akakereka kwan mnapoanza mahusiano inatakiwa kila penye kasoro kupaweka sawa ili mwisho wa siku muende sambamba.
 
Back
Top Bottom