hahahahahah ulimshusha shem kwa geto nini...!!!Habarini wana MMU, jamani kuna watu wanaboa sana mitaani sijui ni umbea au ni nini, yani ukipata mgeni nyumbani kwako watu macho juu wanataka kujua huyo aliyekuja ni nani na amefata nini yani ni shida.
Ndio maana wengne wanapigwa kwa hili mitaani.