Kula matunda sio mpaka uambiwe na daktari!!

Kula matunda sio mpaka uambiwe na daktari!!

Nyalotsi

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2011
Posts
6,989
Reaction score
5,069
kuna watu kila siku kulalamika wanapata choo kigumu na maumivu wakati wa k.unya. Kunywa maji wavivu, unakunywa glass 1 kwa siku! Kula matunda ndio kabisaa mpaka daktari amwambie!

Kuna vitu ukijenga tabia ya kuvila angalau kidogo kwa siku ni msaada kwa afya yako.

na unapokula tunda kama chungwa hakikisha linabaki ganda na vipeke, usifyonze mchuzi tuu.!

Mfano chungwa kama hili hakijisha unalitafuna kama una ugomvi nalo.

picha 1-chungwa lililomenywa na kukatwa

picha 2-namna sahihi ya kula chungwa

picha 3-chungwa lililoliwa isivyo.
 

Attachments

  • 1405841238355.jpg
    1405841238355.jpg
    43.8 KB · Views: 101
  • 1405841322358.jpg
    1405841322358.jpg
    34.2 KB · Views: 90
  • 1405841347198.jpg
    1405841347198.jpg
    39.1 KB · Views: 98
  • Thanks
Reactions: amu
Asante kwa thread nzuri ya afya. Kwenye hizo picha, mimi sibakizi kitu kama kwenye picha namba 2. Hiyo kitu nyeupe natafuna yote! Ni roughage nzuri sana.
 
Asante kwa thread nzuri ya afya. Kwenye hizo picha, mimi sibakizi kitu kama kwenye picha namba 2. Hiyo kitu nyeupe natafuna yote! Ni roughage nzuri sana.

rouphage huwa zinasaidia kumake stools soft hivyo kupunguza shida za constipation. watu wengi huwa wanadhani kuna tiba ya kufanya choo kilainike lakini tiba tunazo sisi wenyewe sema huwa tunadharau
 
rouphage huwa zinasaidia kumake stools soft hivyo kupunguza shida za constipation. watu wengi huwa wanadhani kuna tiba ya kufanya choo kilainike lakini tiba tunazo sisi wenyewe sema huwa tunadharau

Mme wangu nakusalim
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom