Galadudu
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 2,304
- 780
Kupitia gazeti flani lenye kolamu ya kutafuta wachumba na marafiki na mimi niliamua tu kujaribu ili nione kwamba ni kweli watu huwa wanapata?.....
haya hapa matokeo:-
Dar nilipata 108, Tanga 32, Mwanza 11, Zanzibar 2, Arusha 9, Mtwara 48, Songea 21, Singida 87, Dodoma 39, Morogoro 53.
Hiyo ni baadh tu ya mikoa niliyopata "wachumba" lakini mikoa mingine ambayo ckupata kabisa, sasa ndo nikawa najiuliza ina maana wanawake wa Dar ndo wana shida sana ya kuolewa, wana hamu sana ya kuolewa au ni nini?
Hebu mje mnipe majibu.