Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Leo nimemsikia mzee wa upako anasema wachaga ni kabila la neema toka enzi huwezi kuwafananisha na makabila mengine.
Mzee wa upako amesema huwezi kumfananisha mchaga na mnyakiyusa maana mchaga sio mvivu na ukienda popote tanzania utawakuta wanajishughulisha.
Amesema ukimkuta mchaga mvivu ni wa kishumundu tu!
1.kuna ukweli kwenye kauli ya hii ya mzee wa upako?
2.sio kwamba amewazalilisha wanyakiyusa?na makabila mengine?
Cc miss chagga kiwatengu Mr Rocky na mangi wengine wote hongereni kwa fagio la Lusekelo.