Baba alimaanisha tuishi hivi?

Baba alimaanisha tuishi hivi?

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Habari za mchana wanaJAMII!

eti watanganyika wenzangu: baba Mungu alimaanisha tuishi hivi? Hebu angalia maisha ya watanganyika vijana wengi waliomaliza elimu ya juu yalivo:

  1. Elimu - wengi tumekopa na tunadaiwa na HESLB
  2. Kila Mtanganyika anadaiwa na Ikulu (deni la taifa)
  3. Wenye magari, wengi ni ya mkopo (KCB, tpb, crdb zinawadai)
  4. Ndoa - wapo wanaume wanadaiwa mahari (hawakumaliza kulipa yote)
  5. Wale wanaomiliki nyumba, wapo baadhi wanadaiwa na Mabenki!
  6. Wapo waliokopwa KURA ktk chaguzi mbali mbali!
  7. Wapo wanaodaiwa na SACCOS kwa vile walikopa ili kukidhi mahitaji ya harusi!

Yaani kila kona ni madeni!

Nawasilisha!
 
Select specific thing what you want to talk about,!
ndoa,nyumba,gari,elimu,
by the way usiogope kudaiwa na serikali maana hawana utaratibu wa kudai.
 
Select specific thing what you want to talk about,!
ndoa,nyumba,gari,elimu,
by the way usiogope kudaiwa na serikali maana hawana utaratibu wa kudai.

Mkuu Makamee nakupa like ya nguvu!
 
Last edited by a moderator:
uhai wenyewe tumeazimwa na mungu so usiogope kudaiwa mkuu
 
Back
Top Bottom