JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
MCHUNGAJI alikuwa anaombea waumini akauliza; "Wangapi wanataka kuokoka inueni mikono niwaombee." hakuna aliyeinua mkono. Tajiri mmoja akapita mbele na kutangaza.. "Jamani mchungaji anasema...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Skia hii,kuna jamaa alikua kipofu ndugu zake wakampeleka india ili afanyiwe opareshen na aweze kuona kama kawaida alipofika hospitali kufanyiwa oparesheni madokta wakambadilisha macho na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi,baada ya ukimya wa ghafla na kupoteea jukwaani kutokana na makujukumu ya hapa na pale. Hivi sasa nimerudi jamvini tena kwa nguvu mpya na kasi mpya in the mean time...
11 Reactions
572 Replies
28K Views
Ilikuwa mnamo mwaka 2007 nikiwa club Maisha pale Obey...Kijana ndo nimemaliza zangu form six. Basi humu ndani kama kawa full kudansi na kadhalika. Nikamwona binti mmoja mzuri nikamfuata nikaomba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu mwanajamii mwenzenu nimezama kwenye dimbwi la mahaba ya dhati kwa kimwana Zinduna. Naombeni Msaada wenu jamani wanajamii wenzangu hatimaye nimtwae..kimwana Zinduna..naa hidi...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwako dada Evelyn Salt, ninazo sababu za kukumbuka leo; leo ni siku ambayo unaazimisha siku ya kuzaliwa kwako. Happy Birthday, Evelyn Salt! Mungu akukirimie wingi wa miaka, uone wana wa watoto...
5 Reactions
77 Replies
6K Views
Kwann utamadun huu huendelea kutunyanyasa sisi wanaume isitoshe mabint hawatunzi ukakuta ile hadhina ambayo ndo mwanaume hutoa asante kwa wazee.
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Yuko humu humu Jf, napenda comment zake, Napenda Id yake, Navyomfikiria akilini nahisi atanifaa. Au ni mke wa mtu? Kumtajaaaa! Mm roho inasita. Nifanyeje
1 Reactions
102 Replies
7K Views
Kuna rafikiangu alienda kanisani na mdogo wake wa kike,wakiwa kanisani wakati mchungaji anatoa neno la bwana yule mtoto c ndio akaanza kulia mchungaji akajua kua neno la bwana limemgusa yule...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nasema bakiiiii
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiitafakari kwa makini imejaa utata mwingi...!!! Kwa mfano hebu iweke hivi Tumboo Tuu mboo Tu mboo 2 mboo Two mboo Hakika vyovyote iwavyo ina utata kama si ukakasi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hebu sikia hii. Jamaa aliingia gesti na mchepuko wake, jimama la ukweli sana. Likachojoa nguo zote na kuzitundika kabatini. Jamaa akashtuka kuona jimama limeweka bastola kitandani...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Nina furaha sana leo kutimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwangu
0 Reactions
19 Replies
3K Views
hodihodi wana jamvi.
0 Reactions
3 Replies
929 Views
Basi lenye watu ishirini wenye sura mbaya lilipata ajali na abiria wake wote kufariki dunia.Walipofika mbinguni Mungu akawaambia"kwakua mliishi maisha ya kuchekwa kutokana na sura zenu,nitampa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu. Nimekuja tambua pia majina (username) ya baadhi ya wana jamii forum ni vituko na vichekesho. Nikisoma baadhi ya majina huwa naishia kucheka. Kwa mfano: siafu dume, mandingo...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wawil watatu au wanne
0 Reactions
48 Replies
9K Views
Napenda kuuliza tu eti hapa jf tunabaguana? Utaona thd nzuri lakini kwavile aliyeipost sio mtu maarufu hapa jf basi hakuna anayechangia au thd sio nzuri sana lakini wachangiaji wanakuwa wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtambuzi kumbe mke Mama Ngina anamiliki mtaa? Mpe sana hongera zangu!
4 Reactions
28 Replies
3K Views
kidumu chama cha...!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom