Nakumbuka vioja vingi mfano, tukicheza mpira mtaani ukivaa njumu wenzio wanagoma kucheza na wewe maana timu nzima haina viatu! Ukienda disco bila kungfu shoes hupati mchumba! Enzi hizo shuleni...
Nimekuwa nikifuatilia comments za wadada wengi humu, naona wengi wao wanakandia vibamia, lakini timu vibamia nao wanakuja juu wakidai ufundi ndio muhimu. Sasa je ni kweli ufundi ndio muhimu kuliko...
Jamaa mmoja alimchukua paka wake na kwenda kumtupa mbali, ailiporudi nyumbani alimkuta paka amekwisharudi.
Jamaa alikasirika sana! Siku ya pili akamchukua na kwenda naye zaidi ya kilometa 50...
Babu mmoja alimtembelea bibi katika mtaa wa pili ambaye wanasali wote. Alipofika mlangoni aligonga asipate jibu ila alisikia kishindo cha nyayo kilisikika mtu akitembea ndani ya nyumba. Babu huyo...
Mke: Mume wangu kuna mtu ananitongoza.
Mume: We mkubalie halafu mwambie aje mfanyie hapa nyumban, mimi ntajificha uvunguni mwa kitanda nije nimuoneshe kazi.
Siku ya kazi hiyooo...
Jamaa akiwa...
Umewahi kuona familia kama hii..!
1: MAMA ana sura mbaya mpaka akijiangalia kwenye kioo kinaandika Please wait..
2: BABA ni mweusi mpaka akibeba mtoto, mtoto anasinzia akidhani giza limeingia...
mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha...
Mtoto wa miaka 3 alijaribu kuvaa viatu bila msaada wa mama yake. Mara baada ya kuvaa mama yake akagundua kwamba amekosea kuvaa.
Mama: "Umekosea kuvaa viatu katika miguu yako."
Mtoto: "Acha...
Mama alikuwa anaandaa chips kwa ajili ya watoto wake wawili Jasmini na Lazaro. Watoto walikuwa wanabishana nani atachukua sahani ya kwanza ya chipsi. Mama akagundua mzozo huo, akaona wakati huo ni...
Zakaria: "Ninazidi kuwa na nguvu siku hizi."
Asha: "Kwa nini unasema hivyo?"
Zakaria: "Kwa sababu sasa naweza kubeba bidhaa za laki moja katika mfuko mdogo wa plastiki pasi na shida kabisa...
Mheshimiwa mmoja baada ya kupata cheo si
akapewa nyumba mitaa ya watu wenye pesa,
akahamia huko akiwa na mke na mwanae. Siku
moja mwanae aliyekuwa kazoea maisha ya
Uswazi akawa anawinda ndege na...
Siasa zetu zinazidi kutupeleka mbali hadi kwenye familia zetu.Nilipita mitaa flani Kimara mama mmoja akawa anagombana na mumewe na kumuita au kumtukana mumewe msisiem yaani ccm.Kilichonishangaza...
natafuta marafikh wa kuchati nao wawe wa kike au wa kiume.lakini pia natafuta mchumba mwenye umri usiozidi miaka 20.
Anitafute kupitia 0764870144/0785168971.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.