Majina (username) ya wana jamii forum ambayo ni comedy tosha.

Majina (username) ya wana jamii forum ambayo ni comedy tosha.

truegooner

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2014
Posts
779
Reaction score
339
Habari zenu. Nimekuja tambua pia majina (username) ya baadhi ya wana jamii forum ni vituko na vichekesho. Nikisoma baadhi ya majina huwa naishia kucheka. Kwa mfano: siafu dume, mandingo, mduduWashaWasha, dudupori nk. Ebu nawe tupia majina uloyakuta humu na kuona ni kama comedy fulani.
 
Hahahahah eti mandingo inaelkea anabomba lamkulujulu.. Me siiiimo
 
weeee,,, mkuu jina la kichungaji hili unataka ligeuza comedy sio!
hahhaaa@aaaaa
 
Back
Top Bottom