inspekta abinho
Member
- Aug 2, 2014
- 43
- 7
Ilikuwa mnamo mwaka 2007 nikiwa club Maisha pale Obey...Kijana ndo nimemaliza zangu form six. Basi humu ndani kama kawa full kudansi na kadhalika. Nikamwona binti mmoja mzuri nikamfuata nikaomba nidansi naye..tulicheza weeh mpaka mida kama ya saa tisa. Nikamwomba nirudi naye maskani mtoto kakubali..nakasema yes vungu ninalo. Basi kufika maskani bila kuremba tukaanza shughuli sema umeme ulikuwa umekata..ile tumemaliza tu umeme ukarudi...nilichokionaa daahh ni sheedaaa....