KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,149
- 40,918
Duh, sasa umezamaje kwenye dimbwi hata humfaham? Hem' wekeni miadi ya kukutana kwanza, pale forodhani gardens, huwa anapenda sana kubarizi pale wikiendi...then baada ya hapo ulete mrejesho...!!
anamiliki fekon.. kumwambia aende forodhani ni kumpa mitego..
Nimemwona jukwaa pendwa la mapishi
daaaaa sina imani na wew
mnafahamiana in person au ki jf jf
haha..subiri dogo akatolewe joto hadi meno..
anamiliki fekon.. kumwambia aende forodhani ni kumpa mitego..