Evelyn Salt, Happy Birthday to you!

Evelyn Salt, Happy Birthday to you!

Wimana

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
2,449
Reaction score
718
Kwako dada Evelyn Salt, ninazo sababu za kukumbuka leo; leo ni siku ambayo unaazimisha siku ya kuzaliwa kwako.

Happy Birthday, Evelyn Salt! Mungu akukirimie wingi wa miaka, uone wana wa watoto wako, akupe heri ya kuona wana wa wajukuu zako na afya tele.

Happy Birthday Evelyn Salt!
 
heppi besidei
 
Waooooo nenkueteee kishumba na Malombo na mayugwa na ngongwe na unkobo na vindoo special on your BIRTHDAY Eve,.. !
 
yaani hata mie nlikuwa siui kama leo ni HBD yake.
 
Kwako dada Evelyn Salt, ninazo sababu za kukumbuka leo; leo ni siku ambayo unaazimisha siku ya kuzaliwa kwako.

Happy Birthday, Evelyn Salt! Mungu akukirimie wingi wa miaka, uone wana wa watoto wako, akupe heri ya kuona wana wa wajukuu zako na afya tele.

Happy Birthday Evelyn Salt!

Happy birthday bidada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom