The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,800
- 123,860
Napenda kuuliza tu eti hapa jf tunabaguana? Utaona thd nzuri lakini kwavile aliyeipost sio mtu maarufu hapa jf basi hakuna anayechangia au thd sio nzuri sana lakini wachangiaji wanakuwa wengi sababu tu aliyeipost ana jina maarufu hapa jf!! Sasa nauliza hivi kuna watu huchangia thd kutokana na jina la mtu aliyepost hiyo thread??
Ni mtazamo tu.
Ni mtazamo tu.