Hii ni kweli kabisa na wala co utani

Hii ni kweli kabisa na wala co utani

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Kuna rafikiangu alienda kanisani na mdogo wake wa kike,wakiwa kanisani wakati mchungaji anatoa neno la bwana yule mtoto c ndio akaanza kulia
mchungaji akajua kua neno la bwana limemgusa yule mtoto ndio maana akawa analia c ndio akamfuata na kumuuliza unalia nn mtt mzuri?
Mtoto cndio akasema "nnapokuona ww na izo sharubu zako namkumbuka paka wangu wa kule nyumbani ambae amefariki"
mchungaji kimya....
 
Hapana hakuwa mchungaji Huyo alikuwa shehkhe ndo huwA wanakuwa na mindevu
 
Hapana hakuwa mchungaji Huyo alikuwa shehkhe ndo huwA wanakuwa na mindevu

Wewe unawaza Ubaguzi tuu?! Hapo suala sio Mindevu ni Sharubu! Acha hasira hili ni Jukwaa la jokes tu,pole sana naona imekuchoma sana Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom