Karibuni

Karibuni

omururi wasu

New Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
4
Reaction score
0
natafuta marafikh wa kuchati nao wawe wa kike au wa kiume.lakini pia natafuta mchumba mwenye umri usiozidi miaka 20.
Anitafute kupitia 0764870144/0785168971.
 
Kutafuta rafiki hiyo ni gia tu, wewe unahitaji dem ila unaona aibu
kama hadi nyuma ya keyboard unaona aibu hivo huyo dem utampata kweli?we ni zaidi ya domo zege aseee
aibu aibu kitimoto alikosa mkia....
 
si ungeandika tu unatafuta ka demu unazunguka zunguka nini?
 
Tafuta kwanza hela watakuja wenyewe hutakuwa na haja ya kuzungukazunguka humu JF.
 
Duuh soko letu waolewaji linazidi kushuka, so now ni below 20 yrs mweee
 
Mademu kibao mtaani kwako ila kama unawaona ni wabaya basi jikumbushie kwa makoloni yako.
Nalog off
 
Kutafuta rafiki hiyo ni gia tu, wewe unahitaji dem ila unaona aibu kama hadi nyuma ya keyboard unaona aibu hivo huyo dem utampata kweli?we ni zaidi ya domo zege aseee aibu aibu kitimoto alikosa mkia....
mchane huyo hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom