Viatu Miguuni mwa Mtoto

Viatu Miguuni mwa Mtoto

8691jakigili

Senior Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
178
Reaction score
67
Mtoto wa miaka 3 alijaribu kuvaa viatu bila msaada wa mama yake. Mara baada ya kuvaa mama yake akagundua kwamba amekosea kuvaa.

Mama: "Umekosea kuvaa viatu katika miguu yako."

Mtoto: "Acha utani mama, nimekosea namna gani? Kwani hujui kwamba hii ndio miguu yangu pekee niliyojaliwa; sina mingine hata nikosee?
 
Mtoto: "Ucha utani mama, nimekosea namna gani? Kwani hujui kwamba hii ndio miguu yangu pekee niliyojaliwa; sina mingine hata nikosee?

Huyo mtoto wa miaka mitatu ameongea kwa ufasaha mpaka nimeshtuka usingizini... Halafu ana Bezi.!
 
Back
Top Bottom