Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,192
- 1,315
Mke: Mume wangu kuna mtu ananitongoza.
Mume: We mkubalie halafu mwambie aje mfanyie hapa nyumban, mimi ntajificha uvunguni mwa kitanda nije nimuoneshe kazi.
Siku ya kazi hiyooo...
Jamaa akiwa amevua nguo demu kauliza, mbona una makovu hivi?
Jamaa: Hii yote ni Kwa ajili ya kufumaniwa. Mimi huwa nafumaniwa sana, ila nimewaua wote walionifumania jumla 19.
Jamaa akala mzigo hadi mwisho kisha akaondoka salamaa.
Mke: Mume wangu kumbe hunipendi, sasa umefanya nini?
Mume: We ***** nini? ULITAKA MM NIWE WA ISHIRINI?