8691jakigili
Senior Member
- Mar 30, 2012
- 178
- 67
Zakaria: "Ninazidi kuwa na nguvu siku hizi."
Asha: "Kwa nini unasema hivyo?"
Zakaria: "Kwa sababu sasa naweza kubeba bidhaa za laki moja katika mfuko mdogo wa plastiki pasi na shida kabisa, jambo ambalo sikuweza kabisa miaka kumi iliyopita. Hii inaonesha nimezidi kuwa na nguvu siku hizi!"