Stop calling your wife Mummy

Stop calling your wife Mummy

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,333
Reaction score
38,693
Because

you know who is your mumy pls

nyie wake acheni kuzeeshwa mi wangu namwita hny/sweet/
princess didy..nk
 
Because

you knw who is your mumy pls

nyie wake acheni kuzeeshwa mi wangu namwita hny/sweet/
princess didy..nk

kwa siku thread kumi kumi kesho utaandika nini ?? au utatukana kama Baraka Govi ??
 
Last edited by a moderator:
nicely name to call ur wife Mumy and wife to call u dadii, gud sana sababu we take care each other.
 
nicely name to call ur wife Mumy and wife to call u dadii, gud sana sababu we take care each other.

Hakuna kitu km hicho wazaz huwa hawafananishwi na mke au mme ndugu kwan uhusiano wenu unaweza siku moja ukaisha ila kwa wazaz never!
 
Daaah mkuu unakosea sana, mi wakati mdogo mama alikuwa anahakikisha nimekula, niko msafi na ikifika usiku hakosi kuniambia kojoa ulale, hivi sasa wife nae hivyo hivyo anahakikisha nimekula, niko msafi, nae ikifika usiku huwa hakosi kunambia kojoa ulale, yaani sikuelewi!!!
 
Back
Top Bottom