JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tumepanda daladala moja, ikafika wakat wa konda kuchukua mchango wa mafuta....kimbembe kikaanzia hapo, mdafada kajisachi weeeee nauli hana akaanza kumbembeleza konda kuwa atamlipa akifika mwisho...
20 Reactions
164 Replies
13K Views
Habari wana JF, napenda kuwaomba tukumbushane yaliyotupata wakati tunasoma katika daladala. Naanza na ya kwangu, siku moja ilikuwa weekend basi nikapanda magari ya muhimbili sasa sikuwa na...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Tukumbukane members wa mig33 kuanzia mwaka 2007, enzi hizo mtu ana kick room nzima anabaki ye na dem wake tuu, watoto wa kiarabu walikua na sifa... Hahaaa Kama upo hapa em tupia username yako ya...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Walimu Tusilazimishane Masomo Kama Siwezi Mahesabu Nipe Haiba Na Michezo.Mwalimu Mmoja Alilazimishwa Kufundisha Hisabati Tena Darasa La Saba . Wakati Hesabu Kwake Ni Mama Mkwe.Haja Kasawa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mdada mmoja alitoka benki kuchukua mbolea.kufika njiani akakutana na mke wake ambaye aliachana nae miaka 2 ijayo.sasa wakati wanapanda ile pantoni akatokea trafiki akamkamata yule...
1 Reactions
38 Replies
3K Views
Shikamoo wakubwa
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Eti jukwaa LIMEINGILIWA
0 Reactions
8 Replies
915 Views
Habari zenu wana ndugu wa JF na poleni kwa pilika pilika za mchana kutwa. Naomba niwaulize....hivi kuwa mtanzania 'unajivunia'? Au 'unavumilia'?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mara ya kwanza nilimuona TWOO Nikamfagilia kiaina mpka akanipa namba ya simu, Nikawa nikimtext anachelewa kujibu au hajibu kabisa. Nikimcall kila siku ananiuliza nani mwenzangu na pozi pozi...
2 Reactions
85 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Kitendawili!!!!! Ni mweupe Km Barafu, Na Ni mweuc Km Giza, Kuliwa Ni Haramu na ana manyoya mengi mwilini. Jina lake lina herufi (5) Na linaanzia Na Herufi (X). Wanaume huonana nae mara 3 kwa...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Jamaa mmoja mkewe amefariki,wakati watu wamebeba maiti wanakwenda kuzika,Mumewe alionekana mwenye furaha na kucheka,watu wakamuuliza kwanini huna huzuni ambapo aliefariki ni mkeo?,Mume akawajibu...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Ebu tukumbushane story mbili tatu za Ndanda Secondary..,, mi nawakumbuka Sana top layer, route za madeko na mpowora usiku na kujazana uwanja Wa netiboli mademu wa nursing school wakiwa wanafanya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yaani napewa majamboz hadi napiga makelele amabyo ni kero. Hili swala sijajua ni kwanini. Kila ikifika usiku wa manane naota nafanya ngono tena ngono zembe bila condom. nimejaribu kuwauliza...
1 Reactions
67 Replies
10K Views
Unadamka asubuhi ili uoge uwahi job lakini unakuta Kuna watu 2,3 mbele yako mmoja Yuki chooni tayari zaidi ya dk 15 hatoki, umebanwa na tumbo baya huna jinsi inabidi usubiri mmaenda kwa foleni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Demu wa kwanza kabisa kumtokea ulipomfika lianzaje na ulikuwa ktk hali gani, ya kutetemeka au? maana nikifikiria kwangu ilivyokuwa huwa nacheka peke yangu, sasa kwa wengine cjui niaje...hebu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wazee wa SENGE mkoani singida wamesema uzee usiishie chalize uzee uwe mwisho kiomboi, senge kila mtu baby.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
1K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom