Niulize chochote kuhusu...! kabila langu la kisukuma..,!!!

Niulize chochote kuhusu...! kabila langu la kisukuma..,!!!

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,857
Kama unataka kupata habari za wasukuma jinsi walivyo na tabia zao..! pamoja na jinsi wanavyoishi, niulize hapa hapa na mimi nitakujibu..!
 
Eti,Ngosha ni kweli wanaume wa kisukuma wana madushe heavyweight?
 
Nataka kuoa mwanamke wa kisukuma ila naogopa mahari milioni 2... unanishaurije..
 
Kama unataka kupata habari za wasukuma jinsi walivyo na tabia zao..! pamoja na jinsi wanavyoishi, niulize hapa hapa na mimi nitakujibu..!

Kihistoria wasukuma walitokea wapi mpaka kufika Mwanza,Shinyanga,Simiyu na hata Tabora,chimbuko lao linaanzia wapi hasa?
 
Back
Top Bottom